WWW.KUSYAMA.ITGO.COM

Home About me Photo

HOME

My name is PETRO LAMECK KUSYAMA the owner of this site,let me welcome you to vist this site. The site has more information about me and the story of my life from the past up to present,I have meeted more dificults and experiences in life. This website contains of my education,professional,specialization,contact and some pictures of mine,also there is some idea in information & communication technology which am just giving you. My interest is in watching moves,playing football,sing the song of play,drive motocycle,reading novels and playing karate & judo.

WELCOME

Ndugu Mtanzania jaribu kutembelea tovuti za Watanzania ili kukuza na kuleta maendeleo ya tekinolojia hii hapa nchini,mimi binafsi nimeamua kujiunga na tekinolojia hii baada ya kutembelea tovuti za Watanzania wenzangu na kuvutiwa nazo. Ni kweli mwanzo ni mgumu lakini ukiwa na nia utaweza "kwani wao wameweza wana nini na sisi tushindwe tuna nini? kushindwa kunatokana na uzembe wetu wenyewe.

Yani sikufichi ila ukitaka kujua utamu wa ngoma icheze mwenyewe kwani mimi nilipoicheza niliona utamu wake,kwa kuonyesha msisitizo nimeamua pia kutumia kiswahili katika tovuti yangu ili kukikuza kiswahili na pia kuleta mvuto kwa Watanzania wenzangu. Waenga wanasema "MCHEZA KWAO UTUZWA"

Ni kweli kuwa Wantanzania sasa tuko juu na tunaitumia tekinolojia ipasavyo,ukweli huu utauthibitisha kwa kutembelea tovuti hii ya Mtanzania mwenzio yenye mambo kemukemu ya kuelimisha na kufulahisha kitaaluma,kijamii,kiuchumi na dini kwa ujumla.

I could also list updated news about my site's topic such as business,sports,religion and marriage, if my site were about a particular history, I could discuss also the above mentioned issues of a recent competition in our life of to day.

Mr. Petro .L Kusyama

Another idea for my home page's text is a visitors of my website, I put on my site to be an example of a Tanzania boy website, I want visitors to vist my website and enjoye out my website in oder to answer your questions about life, my business, or my professional's topic.

 what are some extra business or professional about me? Here are some business or professional that am doing for now:-

  • Computer maintainance & repair

  • Webdesigner & graphics maker

  • Taking Photos

  • Videos shooting 

 

Message/Ujumbe

Ukiona vyaelea ujue vinautupu, na mtaka cha uvunguni sharti ainue kitanda. Kwanamna fulani utaona kama nimefanikiwa kuinua kitanda na kuchukua kilichokuwepo uvunguni, la! asha nimejalibu kukisogeza tu kilichokuwepo uvunguni lakini bado sijafanikiwa kukichukua.

 

Mwisho nasema mkumbuke muumba wako siku za ujana wako, kwani ni bora kuamini kuwa yupo utakapofika ukamukosa utakuwa na hasala,kuliko kuamini kuwa hayupo na ukafika ukamukuta bwana mkubwa " itakula kwako" 

Behind the Scenes of My Home Page

Even if I don't put much text on my home page, it's a good idea to include hidden tools that will help me promote my site, so people other than my friends and family actually see it. For example, I could add meta tags, which are hidden codes that allow search engines to find my site. I could also install stats and a counter so I know how many people are visiting. If not many are visiting, submitting my site to search engines will guide more traffic to my site.
copyright 2008 by petro l. kusyama